Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwema ndugu yangu?Hivi uniq una mjua au unamsikia?
Atahisi huko kuna kiingilio,huwa hapendi kupoteza hata shilingi mia.Nakaonaga soko la Ngamiani kanauza vyuku
Subiri kakija hapa...
Kaende kakajifunze misingi ya kiuchumi Kibiblia kapunguze na ubahili. Na mahari za watu kalipe kaache dhuluma [emoji16][emoji16][emoji16]