Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mungu ni mwema.
Mwenyewe imeniumiza sana, nikaona niisogeze huku japo tujikumbushe majukumu yetu. Utajiri wa hapa duniani sio mali tu,kuna amani ya nafsi ikiwa tu utatenda yampendezayo Mwenyezi Mungu.
Kuondokewa na mzazi ni pigo kubwa sana, kukosa faraja kutoka kwa ndugu kunakifanya kidonda cha kupotelewa na mzazi(kisipone) kiendelee kutoa usaha.
Nakuelewa sana mkuu. Ni kumtegemea Mungu tu vinginevyo mtu unaweza hata kuchanganyikiwa !!!
 
20180605_070154.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], maumivu yake sasaaaa..
Huo mpira mkubwa ulio fungwa kwa makaratasi ya naironi halafu umesukwa kwa nyuzi, ukiwa na uzito wake baada ya kunyonya maji, umewahi kukufikia kwenye vikengele vyako hivyo viwili? Maumivu (kaptula iwe imechanika katikati ibaki kama sketi) yalikuwaje?
 
You borrow 20sh from your wife. And then after two days you give her 200sh without saying anything!! She will still ask for the 20sh you borrowed her,, they be like "hubby the 20sh wasn't mine the owner is seriously disturbing me[emoji17]!
I tell you This world is not funny without women[emoji68]. [emoji108][emoji108][emoji126]
 
Huo mpira mkubwa ulio fungwa kwa makaratasi ya naironi halafu umesukwa kwa nyuzi, ukiwa na uzito wake baada ya kunyonya maji, umewahi kukufikia kwenye vikengele vyako hivyo viwili? Maumivu (kaptula iwe imechanika katikati ibaki kama sketi) yalikuwaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nili kumisimo.
 
*When you see a poor African man eating chicken it is either he is sick or the chicken was sick*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Other news is that *Its only in Africa where parents remove eye glasses to listen what you're saying*
 
Back
Top Bottom