andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Amina.Nakuelewa sana mkuu. Ni kumtegemea Mungu tu vinginevyo mtu unaweza hata kuchanganyikiwa !!!
Yapo yakusema yatapita. Lakini hili halijawahi kupita(kusahaulika) katika maisha ya mwanadamu,tuwaenzi kwa kuyaendeleza mema waliyo tufundisha.
Tuwaombee wapumzike kwa Amani[emoji120]