Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwema ndugu yangu?Hivi uniq una mjua au unamsikia?
Atahisi huko kuna kiingilio,huwa hapendi kupoteza hata shilingi mia.Nakaonaga soko la Ngamiani kanauza vyuku
Aendelee kisa hajawataja Wanyamwezi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Endelea mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeiona ile tahadhari uliyo tupa ya kulipa mahari. Shemeji upo oni [emoji91] [emoji91] kudai madeniKwema ndugu yangu?
Subiri kakija hapa...
Kaende kakajifunze misingi ya kiuchumi Kibiblia kapunguze na ubahili. Na mahari za watu kalipe kaache dhuluma [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaha!!! Uwezo wa kuelewa unao lakini hutakubaliana na msimamo wangu.Nieleweshe. Au hata uwezo wa kuelewa sina?
Asante sana. Nanyi huko endeleeni kubarikiwa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeiona ile tahadhari uliyo tupa ya kulipa mahari. Shemeji upo oni [emoji91] [emoji91] kudai madeni
Mungu ni mwema kwa kweli. Unaendeleaje huko?
Uwe na siku njema [emoji120] [emoji120]
BARIKIWA [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hahahaha!!! Uwezo wa kuelewa unao lakini hutakubaliana na msimamo wangu.