Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Unazidi kupalilia ile nadharia yetu na kaYego (na wengineo) pale mwanzoni kabisaaaa...[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️...Huyu kaka kwenye Avateri kanivutia tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi mtu anaimba mpaka anadondosha wigi...Wakati ule gospo ilikuwa gospo kweli siyo hii ya kurukaruka na kukata mauno ya akina Rose Muhando. Kwema shem? Bro umemficha wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Do u stil remember ya uncle who was 25 and he had nothing and u thought he was not serious in life ..now look at u .... what do u have hihi ?
Kweli eeh!Umenikumbusha mbali sana. Maisha haya jamani [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Huyo mume wa dada [emoji23][emoji23][emoji23]Yaani watu walikuwa wanaimba bwana...tena kwa hisia kali, waweza sema mwisho wa dunia huu hapa..
We angalia hapo kwenye "OGOPA" Ogopa ogopa kweeeeeli....
Nipo babe ake....Kweli Old z gold..
Huyu kaka kwenye Avateri kanivutia tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ipi hiyo,,, ??Unazidi kupalilia ile nadharia yetu na kaYego (na wengineo) pale mwanzoni kabisaaaa...[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Mie mwenyewe nilishtuka, sema nikawa naicheki tu mara kwa mara.Zimefika.
Halafu Avatar imeenda wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],, huyu shemeji bwana....Wewe humuoni alivyo msweet.Huyo mume wa dada [emoji23][emoji23][emoji23]
Avatar haionekani ama?Zimefika.
Halafu Avatar imeenda wapi?