Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Timothy Weah
Uuhuuuu!!!!"Nkundwe" ghwawe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uuhuuuu!!!!
Huu mwingiliano wa lugha huu unaweza kuharibu usiri[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Habari ndugu yangu? Tumshukuru Mungu kwa kutuweka huru mpaka siku ya leo.
Dahh!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]NjiiiiiimmmmmmmmView attachment 795497
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo nyimbo ulizishiriki kuziangalia kwenye kideo kipindi kile? Au youtube kwa msaada wa stori za wazazi?Yani kipindi hicho ndio kulikuwa na Gospel sahivi kuna makelele tu.
Mume yupo atakuja baadae
Poleeeee Nkundwe ghwangu.....Ila utahukumiwa kwa dhambi ya WIZI.Dahh!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeiba sana ndala aina ya Bata.
Baadae tukaja kujikomboa na ndala za umoja. Nimejichana sana na viwembe kwa ajili ya kuchonga tairi...