Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Moja ya furaha ambayo nilikuwa nikiitafuta maishani, ni kwamba mimi sio kama watu wote wanavyofikiri. Nilikuwa nikijua kuwa mimi ni zaidi ya watu wengine, na ni chini ya wengine kuliko ninavyofikiri.
 
Nilikuwa napigania kutoka mahali fulani ili nifike ninakotamani kufika. Nikatambua kuwa wapo watu wengi wanafikiri kama mimi. Wanahangaika kuliko mimi. lakini sikujua jinsi gani kila mtu anajitafuta mwenyewe.
 
Aina Tano Za Lugha za Mapenzi.

Watu huonyesha mapenzi kwa njia mbalimbali, kila mtu na njia yake, na watu hujisikia kupenda na kupendwa kwa njia tofauti tofauti. Mtu yeyote anaweza kujisikia kupendwa pale tu mtu anapoonyesha lugha yake ya mapenzi. kama mapenzi yanaelezea lugha tofauti, Kwa hio Upendo wa kweli haujawahi kupokelewa.
 
Lugha hizi ni …

Ukiri wa Maneno

Thamani Ya Muda na Nafasi

Kupokea Zawadi

Mguso wa mwili.

Kama mmoja anapenda na kujisikia kuhudumiwa vizuri na mwingine anapenda kupewa Muda tu , basi kutakuwa na shida mahali.
 
Ni vizuri kufahamu mwenza wako anapenda lugha ipi ya mapenzi, vinginevyo hata kama ukaonyesha kiwango kikubwa cha upendo kama hujagusa anachohitaji ni kazi bure, hawezi kujisikia kupendwa.
 
Unawezaje kujua lugha ya mpenzi wako? Jiulize swali Kitu gani mwenza wako huwa analalamikia? Anathamini nini? hamtumii muda kwa pamoja , hamtembei pamoja. kama mwenza anapenda zawadi kubwa halafu wewe kila siku unapeleka pipi, hamtaelewana.
 
Jiulize utawezaje kuonyesha upendo wako? lakini pia ni kitu gani kinampa mwenza wangu furaha? lazima ukielezee unachokipenda ili mwenzako akijue.
 
Mwingine anaweza kusema kwake yeye lugha ya mapenzi huja yenyewe, sihitaji mguso wala kutumia pesa ili kupata zawadi, kwa jinsi hio lugha yako haitaeleweka.
 
Jaribu aina zote tano ili ujitambue uko kwenye ipi.

Kutafuta maarifa ni kutafuta Furaha. na ninafikiri njia hii itasaidia mahusiano kupona kwa haraka. Kila mtu ajifahamu mwenyewe vizuri, na mwenza wake, na hata nje ya mapenzi. ni vizuri kufahamu upande wa pili wanafikiri kitu gani.
 
Dahh!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeiba sana ndala aina ya Bata.
Baadae tukaja kujikomboa na ndala za umoja. Nimejichana sana na viwembe kwa ajili ya kuchonga tairi...
Poleeeee Nkundwe ghwangu.....Ila utahukumiwa kwa dhambi ya WIZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…