Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hizo nyimbo ulizishiriki kuziangalia kwenye kideo kipindi kile? Au youtube kwa msaada wa stori za wazazi?
Niaje sweetlee binti mzuri mchangamfu, mwenye kujua kupenda unapo pendwa[emoji137] [emoji137]
Mkuu nilishiriki.

Niko poa andjul [emoji5]
 
Nguvu zetu na madhaifu yetu mara nyingi zinakuwa sawa. zinavutana kila wakati, kila moja upande wa mwingine, kitu fulani chenye uwezo na udhaifu , kitu ambacho kinamfanya mwingine ajisikie vibaya. Lakini pia ipo faida kama ukiangalia plan B Yaani nguvu iliopo.
 
Mara nyingi kwenye mahusiano huangukia kwenye nguvu aliyonayo mtu. Hii inaweza kuwepo katika njia zote ndogo na kubwa. Kwa mfano unachukizwa na mwenza wako anapokuwa hayuko makini kununua vitu kwa wakati, na mara nyingi ananunua vitu ambavyo havihitajiki kwa wakati huo.
 
Kwa matarajio makubwa unategemea kuwa ataweza kugundua kutokana na kutopendezwa kwako na hali ile, lakini bado anaendelea kufanya vitu vilevile. badala ya kumwambia unalalamika kila siku pembeni , sasa atajuaje kosa lake? Ni vizuri kama ukamwambia kwa njia nzuri ya kueleweka, njia ambayo hatajiona kama mtu asiye na akili ya kupanga mipango bali kama mtu mwenye akili. Jielezee kwa njia rahisi ya ufahamu wako kwa kumpa sifa mbalimbali mwenza wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…