andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Yale maisha ya utotoni mara nyingi unajitabiria maisha ya ukubwani. Muhimu ni kurekebisha yale yote uliyo gombezwa na walezi na kuzingatia yale tu uliyo sifiwa.Poleeeee Nkundwe ghwangu.....Ila utahukumiwa kwa dhambi ya WIZI.