Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
.
20180606_220856.jpg
 
Ukistaajabu ya Mussa
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
India yafungisha ndoa za vyura

Wakati matukio ya kufurahisha na kusikitisha yakiripotiwa kila kukicha Duniani, huko nchini India mji wa Lagaan wananchi huwafungisha ndoa vyura kama ishara ya kuomba Baraka.

Imeelezwa kuwa wakazi wa eneo hilo huwafungisha ndoa vyura kama ishara ya kumuomba Mungu wao wa mvua awaletee Baraka za mvua katika eneo hilo ili kufanikisha shughuli zao.

Unaambiwa kuwa katika mji wa Lagaan mvua ndio kila kitu na wakazi wa eneo hilo wako tayari kufanya lolote lile ili tu kumfurahisha Mungu wao mvua.

Aidha inaelezwa kuwa katika zoezi la kuwafungisha ndoa vyura wakazi wa eneo hilo hufanya sherehe kubwa sana ambapo chura mwanaume na mwanamke huandaliwa na kupambwa vizuri kabla ya kufungishwa ndoa.
 
Ukipata muda utaniwekea summary.
 
TCAA, Wizara ya afya watiliana saini kukomesha magonjwa

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) wametia saini na wizara ya afya kutekeleza mpango wa kuzuia magonjwa ya kuambukizwa kupitia viwanja vya ndege. Mpango huo ni endelevu ulioanzishwa na shirika la ndege la kimataifa la usafiri wa anga duniani.

Ambapo kama wanachama wa shirika hilo ambao ni wadhibiti wa mamlaka ya afya nchini wanajukumu la kuchukua mpango huo na kuuandaa kwa kushirikiana na wizara ya afya pamoja na wadau mbalimbali wizara nyingine mbalimbali.

Akizungumza na vyombo vya habari leo katika ofisi zao Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza Johari amesema kuwa dhumuni ni kuhakikisha uboreshaji ili kujihakikishia Tanzania inapambana na magonjwa ya maambukizi yanayotokana na usafiri huo wa anga kwa njia ya muingiliano wa watu kutoka sehemu mbalimbali, ukizingatia nchi jirani ya Jamuhuri Kidemokrasia ya Congo mlipuko wa ungojwa wa ebola umeshaua watu takribani 15.

Johari amesema pia ni utaratibu huo utawezesha watumiaji wa usafiri wa anga kusafiri kwa usalama.

Mkuu wa vituo vya afya wiwanja vya ndege, bandari na mipaka Remidius Kakulu amesema kuwa mpango huo ukianza utekelezaji wake itasaidia kupambana na maambukizi ya magonjwa ya mlipuko kama ebola.

"Katika viwanja vyetu vyote vya ndege tumefunga vipimo vya kupima joto ambapo abiria wote wanaoingia nchini watapimwa,kwa atakaeonekena na joto kali atawekwa pembeni kwa ajili ya uchunguzi zaidi"amesema Kakulu.

Aidha kaimu mkurugenzi wa udhibiti wa kiuchumi na biashara mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania Daniel Malanga amesema kuwa usafiri huo ambao wa haraka kuliko yote ndio unaoweza kusambaza magongwa kwa kasi zaidi kwa kutumia mpango huo muhimu kwa kushirikiana na wadau wengi wa viwanja vya ndege mbalimbali hapa nchin utasaidia kuzuia maambukizi hayo.
 
Back
Top Bottom