myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siyoAndjul
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 796163
Hilo umesema wewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siyo
Yegomasika??[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mchungaji Nabii ana jina lenye utaaata[emoji3] [emoji3] [emoji3] zima moto[emoji91] [emoji91]Macho yako maongo dahhh!!! Kuna neno la kiswahili hapa?View attachment 796004
Ukipata muda utaniwekea summary.Ukistaajabu ya Mussa
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
India yafungisha ndoa za vyura
Wakati matukio ya kufurahisha na kusikitisha yakiripotiwa kila kukicha Duniani, huko nchini India mji wa Lagaan wananchi huwafungisha ndoa vyura kama ishara ya kuomba Baraka.
Imeelezwa kuwa wakazi wa eneo hilo huwafungisha ndoa vyura kama ishara ya kumuomba Mungu wao wa mvua awaletee Baraka za mvua katika eneo hilo ili kufanikisha shughuli zao.
Unaambiwa kuwa katika mji wa Lagaan mvua ndio kila kitu na wakazi wa eneo hilo wako tayari kufanya lolote lile ili tu kumfurahisha Mungu wao mvua.
Aidha inaelezwa kuwa katika zoezi la kuwafungisha ndoa vyura wakazi wa eneo hilo hufanya sherehe kubwa sana ambapo chura mwanaume na mwanamke huandaliwa na kupambwa vizuri kabla ya kufungishwa ndoa.
[emoji3] [emoji3]Na alete mrejesho [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hilo umesema wewe.
[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchungaji Nabii ana jina lenye utaaata[emoji3] [emoji3] [emoji3] zima moto[emoji91] [emoji91]