Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumbuka kuwa amevutiwa na uwanamke wako.

Ufunguo wa kujiunganisha na nguvu, decisive, mwanaume mwenye mafanikio ni kuonyesha uwanamke wako kwa uchangamfu. itampa nguvu, kumvutia, itamfanya akuhitaji, na kuuteka moyo wake.
 
Uwanamke wako ndio nguvu yako, unapofahamu kuutumia vizuri.

Kuteka usikivu wa mwanaume , uchangamfu wako wa kike ndio jibu.

Uchangamfu wa wa kike hautakuwepo endapo utakuwa unajifikiria kuwa wewe ni wa gharama. au wa bei kubwa.
 
3.Be playful.

Moyo wenye tabia ya uwazi utakulinda kutokana na kitu chochote kitakachojitokeza, na yote utafurahia. na mapema utagundua jaribu lako kwa mwanaume.
 
Fuata hizi hatua rahisi 3 kujichunguza uchangamfu wako na kukutana na wanaume wenye sifa bora.

1.Uwe unavutia
wanaume watakuwa na urahisi wa kukukaribia.

2.Uwe comfortable, in pleasant way.

Uwe wazi na ufanye mazungumzo ya kirafiki na mwanaume ambae unaangaliana nae na kuzungumza nae.

3.Be playful.

Moyo wenye tabia ya uwazi utakulinda kutokana na kitu chochote kitakachojitokeza, na yote utafurahia. na mapema utagundua jaribu lako kwa mwanaume.

Kupata mapenzi usishindane na mwanaume anaeelewa- tumia kwa faida yako. utakuwa na mafanikio kwa njia ambayo utapata mpenzi wa ndoto yako
 
KWANINI UFE MASIKINI??

BEI YA FIGO NI TSH. MILIONI 500-900,
UZA FIGO MOJA KWA TSH.MILIONI 700, CHUKUA MILIONI 500 KABETI MECHI 2 ZENYE ODDS 2.4 MFANO MPE BAYERN WIN NA BARCA WIN
UTAPATA KAMA BILIONI 2.1 CHUKUA MILIONI 700 KANUNUE FIGO URUDISHIE.
UTABAKIWA NA BILIONI 1.4 JUMLISHA NA ZILE MILIONI 200 ZILIZOBAKI BAADA YA KUBETI INAKUWA BILIONI 1.6

Umaskini byeeee byeeee..
[emoji963][emoji963][emoji963][emoji963][emoji963][emoji963][emoji963][emoji963][emoji963]
 
Byeeeeee mgumu [emoji120][emoji120][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mzindue [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee!
IMG-20180607-WA0006.jpg
 
Back
Top Bottom