Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unaweza kudhani kuwa kufanya mapenzi mara nyingi kutakufanya uwe na furaha zaidi, lakini utafiti mpya umedai kuwa mambo yanaweza kuwa tofauti.

Watafiti wa Marekani wamebaini kuwa kufanya ngono mara nyingi kunaweza kupoteza uhalisia, mahaba na hamu. Wanadai kuwa mapenzi ni ‘ubora’ zaidi kuliko ‘wingi’ na kwamba kufanya zaidi kunaweza kuwafanya wapenzi kuyachoka.
 
Watafiti kwenye chuo kikuu cha Carnegie Mellon walibaini mwanzo kuwa ngono na furaha si vitu vya moja kwa moja kama inavyofikiriwa. Kuwa na furaha kwa mfano kunaweza kumfanya mtu kufanya mapenzi zaidi au kuwa na afya kunaweza kusababisha mtu kuwa na furaha na kutaka kufanya mapenzi zaidi
 
Kama sehemu ya utafiti huo, wanasayansi waliwafanyia majaribio baadhi ya wapenzi kufanya mapenzi zaidi. Waliripoti kuwa kufanya mapenzi zaidi hakukuwafanya wawe na furaha zaidi kwasababu kuongezeka kwa kufanya kulipunguza hamu na raha ya mapenzi.

Watu 128 waliokuwa na umri wa kati 35-65 waliopo kwenye ndoa (wanawake na wanaume) walishriki utafiti huo.
 
Watalaam wa masuala ya utafiti wamekuwa wakijitahidi kufanya tafiti mbalimbali Duniani kote leo wamekuja na utafaiti mpya unaosema Wanaume ambao wana wachumba wanene huishi maisha marefu na yenye furaha ikilinganishwa na wale wembamba.

Hii ni kulingana na utafiti uliofanywa na Dr. Filemon Alvarado na Dr. Edwagardo Morales katika chuo kikuu kimoja nchini Mexico.
 
Watalaam wa masuala ya utafiti wamekuwa wakijitahidi kufanya tafiti mbalimbali Duniani kote leo wamekuja na utafaiti mpya unaosema Wanaume ambao wana wachumba wanene huishi maisha marefu na yenye furaha ikilinganishwa na wale wembamba.

Hii ni kulingana na utafiti uliofanywa na Dr. Filemon Alvarado na Dr. Edwagardo Morales katika chuo kikuu kimoja nchini Mexico.
 
Aidha utafiti huo umeonesha kuwa wanawake wanene huwa wana ujasiri na mara nyingi hawakasiriki upesi.

Musyoka John ambaye ana mke ‘mwembamba’ ameeleza kuwa mara nyingi mkewe humhangaisha na hawana uhusiano mzuri katika ndoa yao.

Ameeleza kuwa mkewe anapoamua kufanya jambo ama kukataa, kamwe hawezi kugeuza msimamo wake.
 
The idea of Mr president bringing Cuban doctors just reminds me of a former Russian president called Prasvilyodiskyovach Petrozillizevicsky. I know you've skipped pronouncing the name so I'll stop my story there. I don't like laziness!!​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…