myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Imagine umetoka job halafu unamkuta waifu kakaa anatabasamu tu halafu hakusemeshi. Mi nageuza aisee hata ndani siingii [emoji16][emoji16][emoji16]
Bro unasumbuka tu kumuelezea khs Spinks, mwenzio haelewi hapo,,, halafu anajiita mhenga [emoji23][emoji23][emoji23]Huyo kwenye picha yako siyo Leon Spinks?
Bondia aliyewahi kumtandika Mohammed Ali wakati angali akiwika.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Avatar nzuri unazo halafu umeamua kutuwekea huyu na mimeno yake. Ajabu huandamwi kha. Hapa duniani hakuna usawa aisee
Kutapeliwa wanatapeliwa hata wajanja kabisa kabisa. Hawa jamaa wanaweza kuja na gia tata mpaka mwenyewe unashangaaWa hivo simpi hata polee.
Noma sana,,, iludshe ile avatar tata bhna[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji101]Aina 10 za wanawake wanaopendwa zaidi na wanaume.
Hata mimi ilikuwa inanitokea hiyo kwenye browser. Hovyo sana !!!Nachukia pale napo like post humu jukwaani then inakuja notice ikiuliza "are you sure you want to like this post!" Natama niiulize hiyo saver kwamba kulike post jukwaani is it my fault?🙁🙁
LIKES...Likes...
Andjul. Tegua kitendawiliHuyu ndio katapeliwa 1.3.....