Hela mlifanikiwa kuzikomboa?Hapana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kutoka Mwakaleli
Mfanya kazi wake kwenye kibanda cha M-PESA ndo alipigwa na vijana wanao sajili sim card. Waliidukua namba na jina,wakabadilisha namba jina likabaki la boss(rafiki yangu) wake. Wakaanza kumtumia sms za kumwambia aingize hela kwenye namba hizi... Jina la kwenye sms likawa la boss wake.
Wote huo UZEMBE TU..Hapana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kutoka Mwakaleli
Mfanya kazi wake kwenye kibanda cha M-PESA ndo alipigwa na vijana wanao sajili sim card. Waliidukua namba na jina,wakabadilisha namba jina likabaki la boss(rafiki yangu) wake. Wakaanza kumtumia sms za kumwambia aingize hela kwenye namba hizi... Jina la kwenye sms likawa la boss wake.
Jamaniii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alikuwa ametoka kuuza parachichi zake [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Avatar nzuri unazo halafu umeamua kutuwekea huyu na mimeno yake. Ajabu huandamwi kha. Hapa duniani hakuna usawa aisee
Aisee...Wa mmoja
Wanawake wanaochagua mara moja na kutosheka na kuwa tayari kukwepa kila aina ya vishawishi toka kwa wanaume ambao kimtazamo wana vitu vya ziada zaidi ya waliowachagua mwanzo wanahitajika sana. “Niliye naye ananitosheleza kwa kila kitu sitaki mtu mwingine.” Kundi la wanawake wa aina hii ni adimu na muhimu sana.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji818] kwani kuna shida mkuu kama sifa zipo mkuu amna tatizo coz napenda mwanamke anayefikiri tofauti katika ulimwengu huu sio kusengenya tu kutoka asubuhi hadi jioni.....
Inasemekana hvyo bro,,, sijui hata wap wanafail,wakati huwa nawaona wako smart sana kichwaniInasemekana ndiyo wanaongoza kwa kuwa singo mazazi
Kweli..Sina maana mbaya ninaposema kina dada kwasababu wengi wao ndio wanaoacha sehemu zao nyeti wazi, kwamfano kuvaa nguo fupi sana na kuvaa vitop vinavyoonyesha sehemu kubwa ya maziwa wazi.
Heee huwa unatunza aiseeeZingine sizioni aisee. Ila nikiangalia makabrasha yangu itakuwemo tu..View attachment 797157
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poleni sana aisee, kwenye suala la wizi huwa halina mjanja bro, ukiotewa ndo basi tena wanakupigaJamaniii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni hii uliyokuwa unaitafuta?Heee huwa unatunza aiseee