Aisee!Ulikaweka siku moja, Numbisa alikuja juu utadhani Yego ulivyokuwa unambembeleza amkubali mwalimu Pyaar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Jirani kanimaliza kabisaAndjul. Tegua kitendawili
Mambo ni fayaaaa......[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Pamoja sana. Uki like kabla avatar hazijatokea vizuri inakuja hivyo ila avatar zikitokea uka like inakua fresh tuAsante kwa msaada numb
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. NitakatafutaUlikaweka siku moja, Numbisa alikuja juu utadhani Yego ulivyokuwa unambembeleza amkubali mwalimu Pyaar
[emoji818]Pamoja sana. Uki like kabla avatar hazijatokea vizuri inakuja hivyo ila avatar zikitokea uka like inakua fresh tu
Voda waliwa tetea mawakala wao. Hatukupata kituHela mlifanikiwa kuzikomboa?
Wabishi mabishano ya mahakaman wanayahamishia homeInasemekana hvyo bro,,, sijui hata wap wanafail,wakati huwa nawaona wako smart sana kichwani
Wala hata sio wa vigogo,, ni wajanja tu mjini,, tena wanakuwa na chumba chao kimesheheni silaha za maangamizi.....Mchongo wa vigogo huo
Duh!! Mpe pole..1.3 nyingi kuliwa Bure.....Voda waliwa tetea mawakala wao. Hatukupata kitu
Ni rahisi kusema hivyo. Hayajakutokea.Wote huo UZEMBE TU..