Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kakishua nako kalipotea jumla
Cherie%20Neisha.jpg
 
Hawaingii kwenye mahusiano yasiyo na lengo
Ukiona mwanaume ambaye kila msichana anayepita mbele yake anataka kuwa naye kwenye mahusiano, basi mtafutie chupa ya maziwa kwa sababu bado ni mchanga sana.

Mahusiano siyo kama daladala upande na kushuka, mahusiano ni kitu kinachotakiwa kufanywa kwa malengo na kwa ubora stahiki.

Wanaume waliokomaa huingia kwenye mahusiano ya maana tena yenye lengo la maana kama vile ndoa na si vinginevyo.
exactly na wengi wao wanapata baraka coz hawaingii kwenye ndoa wakiwa na laana za kuchezea feelings za watu.....
 
Back
Top Bottom