Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wenye msimamo
Wanawake daraja la kwanza wanaopendwa zaidi na wanaume ni wale wenye msimamo, uelewa mkubwa wa mambo na maamuzi sahihi, wako makini kwenye matendo yao na siku zote hufanya vitu kwa ajili ya kupata mafanikio.
Wanawake waliosemea sheria,,, dah wanamsimamo hawa,,, zile sheria wanataka ziapply hadi kwenye maisha ya kila siku!
 
Wanaoweza kujitegemea
Wanawake wanaojitegemea wana soko kubwa kwa wanaume tofauti na akina naomba vocha kila siku. Uchunguzi unaonyesha kuwa wanaume wa leo hawapendi wanawake tegemezi, wasiokuwa na kazi na wanaoendekeza starehe za upande mmoja.
 
Wasio na presha
Nikisema wanawake wasiokuwa na presha namaanisha wasiolazimisha vitu vitokee haraka haraka. Wao siku zote huacha mambo yatokee yenyewe na kazi yao kuwa ni kutenda sehemu ya majukumu yao kama wapenzi.
 
Duh !!!

Alikuwa ndo kadondoka laivu kutoka Mwakaleli au? [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
Hapana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kutoka Mwakaleli

Mfanya kazi wake kwenye kibanda cha M-PESA ndo alipigwa na vijana wanao sajili sim card. Waliidukua namba na jina,wakabadilisha namba jina likabaki la boss(rafiki yangu) wake. Wakaanza kumtumia sms za kumwambia aingize hela kwenye namba hizi... Jina la kwenye sms likawa la boss wake.
 
Maridadi
Kundi lingine la wanawake wanaopendwa na wanaume ni wanaozingatia usafi na kujiremba. Wanaokwenda na wakati katika mavazi na mvuto wa nje. Lakini pia ni waelewa wa mazingira, si washamba. Wanapendeza kwa muonekano.
 
Hapana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kutoka Mwakaleli

Mfanya kazi wake kwenye kibanda cha M-PESA ndo alipigwa na vijana wanao sajili sim card. Waliidukua namba na jina,wakabadilisha namba jina likabaki la boss(rafiki yangu) wake. Wakaanza kumtumia sms za kumwambia aingize hela kwenye namba hizi... Jina la kwenye sms likawa la boss wake.
Duh!!
 
Wanaoridhika
Wanawake ambao huridhika na hali walizonazo ni kivutio kikubwa kwa wanaume, hili ni kundi linalohitajika sana katika ulimwengu wa mahusiano kwa upande wa wanaume ambao maisha ya sasa yamekuwa yakiwageuza kutoka juu kwenda chini au chini juu. Kukubali hali zote bila kubadili tabia ni sifa njema ya mwanamke.
 
Wa mmoja
Wanawake wanaochagua mara moja na kutosheka na kuwa tayari kukwepa kila aina ya vishawishi toka kwa wanaume ambao kimtazamo wana vitu vya ziada zaidi ya waliowachagua mwanzo wanahitajika sana. “Niliye naye ananitosheleza kwa kila kitu sitaki mtu mwingine.” Kundi la wanawake wa aina hii ni adimu na muhimu sana.
 
Back
Top Bottom