Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Hawakai mbali na familia zao
Ukimwona mwanaume ambaye anakimbia familia yake, huyo bado ni mchanga sana. Fahari ya mwanaume yoyote aliyekomaa ni kuona yuko karibu na anaihudumia familia yake kila mara.
Kama baba yako au mkeo anakutunzia kila kitu cha familia yako sasa kwanini usiitwe mwanaume suruali? Mwanaume aliyekomaa hujali wajibu wake na kuhakikisha anakaa katika nafasi yake kama baba wa familia.
Comrade tumeonana tena, habari za midaTake over
Sometime stress za kuachika zinachangia ajali zingine.......Kuendesha gari ni suala linalohitaji umakini na utulivu mkubwa, hasa pale unapoendesha gari umbali mrefu. Mara kwa mara kumeshuhudiwa ajali mbalimbali ambazo kimsingi zinatokana na madereva kutokuzingatia kanuni muhimu katika utumiaji wa vyombo vya usafiri.
Alisema alikuwa anahisi amekuwa addicted na JF na alikuwa anatafuta mbinu za kujinasua. Yawezekana kafanikiwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Mambo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sijui ndo kale nimekatunza kwa matumizi ya baadae?!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] me too bro kale ka avatar kangu kazuuuriiiii unakakumbuka eee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ipo ile avatar bomba ya binti mpole kaegamia mtiUlikapoteza tena nikuwekee?
32.Mbona kama ana meno mengi sana 32+
Alikuwa ametoka kuuza parachichi zake [emoji23]
Hawajihisi wadhaifu juu ya mwonekano wao
Mwanaume hasifiwi sura bali anasifiwa kwa mafanikio au malengo aliyoyatimiza. Wanaume waliokomaa hawajali kuwa mimi nina sura mbaya au mimi sina mvuto kama wa fulani n.k.
Nikukumbushe pia kuwa masuala kama vile kunyoa kiduku, kuvaa milegezo au kuiga kila mtindo wa mavazi ni maswala ya kivulana tena ya wanaume wachanga ambao hawajakomaa.
Wanaume waliokomaa hutafuta mafanikio halisi, tena ya kudumu na siyo vitu vya nje kama vile sura au mvuto kwa wanawake.
Brother kwema?Comrade tumeonana tena, habari za mida
Sijui ndo kale nimekatunza kwa matumizi ya baadae?!!!!
Ulipo tupo. Hahaha kwema comrade.Comrade tumeonana tena, habari za mida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]thole [emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 797149