Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sio wanaume pekee wanaopenda kuangalia video za ngono, utafiti uliofanywa nchini Uingereza umebaini kuwa mwanamke mmoja kati ya wanawake watatu wamekiri kuangalia video hizo walau mara moja kwa wiki.

Na wengi wamedai kuwa huziangalia kwa kutumia simu za mkononi.

Mpiga picha wa Uingereza, Amanda de Cadenet aliungana na Marie Claire kufanya utafiti kwa wanawake wa kisasa na uhusiano wao na video hizo na kubaini kuwa wengi wao ni watazamaji wazuri na tena huangalia wakiwa peke yao, kwa raha zao, kuliko wakiwa wenzao wao.
 
[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
069b29215bc1b6c62c0eb408ab7d4562.jpg
 
Amanda alisema wanawake wengi walidai kuangalia porn ili kujifunza vitu vya kuwaridhisha wapenzi wao ama wao wenyewe. Asilimia 70 ya wanawake waliofanyiwa utafiti walikuwa na umri kuanzia miaka 18 hadi 34.
 
Je mwanaume aliyekomaa ni yupi? Je ni mwenye miaka zaidi ya 18? Kwa kawaida kuna makundi makuu mawili ya wanaume, wanaume wachanga na wanaume waliokomaa.

Kama kulivyo na tofauti kubwa kati ya mtoto mchanga na mtu mzima au aliyekomaa ndivyo ilivyo pia kwa makundi haya mawili ya wanaume.
 
Mwanaume aliyekomaa ni yule ambaye maamuzi na matendo yake yanahusisha busara, hekima pamoja na utafiti wa kutosha. Ikiwa unapenda kuwa au kumfahamu vyema mwanaume aliyekomaa basi karibu nikufahamishe vitu 10 ambavyo wanaume waliokomaa hawavifanyi.
 
Hawaruhusu hofu kuwazuia kufikia furaha na malengo yao

“Hofu ni mojawapo ya adui mkubwa wa mafanikio.” - Reginald Mengi

Kwa hakika ni kweli kabisa hofu ni adui mkubwa wa mafanikio yetu. Wanaume waliokomaa wanafahamu madhara ya hofu maishani mwao hivyo hawaruhusu hofu hasa ile ya kushindwa iwatawale.

Wanaume hawa hufanya mambo wakiwa na uthubutu wa hali ya juu, wao hawajali walishindwa jana au watashidwa kesho. Hili huwafanya wanaume hawa kufanikiwa sana tofauti na wanaume wachanga.
 
Hawafanyi vitu ili kuwafurahisha wengine
“Siwezi kukupa kanuni ya mafanikio, lakini ninaweza kukupa kanuni ya kushindwa – nayo ni: Jaribu kumridhisha kila mtu.” - Herbert Bayard Swope

Ni wazi kuwa Hubert Bayard Swope alifahamu fika kuwa ukitaka kushidwa jaribu kumfurahisha kila mtu. Wanadamu wanatofautiana, huyu anapenda hiki na huyu kile; hivyo kujaribu kumfurahisha kila mtu ni kujiweka kwenye njia panda ngumu ambayo itakuzuia kufikia malengo yako.

Wanaume waliokomaa hawatafuti kuwafurahisha watu wengine bali wao hupambana kutimiza malengo na maono yao.
 
Back
Top Bottom