omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,204
- 17,687
Hahaha! Imekaa njema huo msosi mimi napenda kuutumia jioni nikiwa sina harakati nyingi si unajua unaitaji nafasi kama kula nanasi hahahaha LolAcha tu mkuu, kuna mtu huwa namwagiza ananitengenezea. Yaani anayapatia kweli.