Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji4][emoji4][emoji4]Sawa Shiro. Ni kweli !!!
Kabisa bro. Hicho ndo chakula sasa. Nyingine zote mbwembwe tu [emoji16][emoji16][emoji16]Kituuuu
Siyo kila vita lazima ushinde, unaweza anzisha vita ikaendelezwa na ushindi ukaja patikana mbele ya safari na wapambanaji wengineVita alioyoanzisha ni ya haki lakini hawezi kushinda..!
Faya
Kabisa bro.Kabisa bro. Hicho ndo chakula sasa. Nyingine zote mbwembwe tu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Siku zote Khanga anapigwa nayo mwanamke anayejielewa tu
Asiyejielewa tandika makofi tu dadeki
[emoji3] [emoji3] [emoji3] poleniTecno zinakuwa na ujinga sana..simu ukiweka mfukoni kama umesahau kuLock screen..unakuta umefanya kila kitu yani...unatoa mfukon unakuta usha breakUp na bae wako,,.na ushajiludisha kwa Ex wako tena na text ya “nimekumissgggghdddd” umedownload App ya Sportpesa tayar,UmeKopa Voda na umemtumia mama yako Audio ya WOWOWO
Siyo kila vita lazima ushinde, unaweza anzisha vita ikaendelezwa na ushindi ukaja patikana mbele ya safari na wapambanaji wengine
[emoji3] [emoji3] [emoji3] usinifanye nicheke. Huenda ni mkuria koko huyoKuna wakurya na wakuria, wanakuna fresh tu mbona.
Nashukuru mi mzimaSalam kaka moud, habari yako?