[emoji3] [emoji3] [emoji3]Uko vizuri mkuu, mie mkulima mdogo mdogo tu wa mboga za majani
Mchicha bwasi [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nahitaji mchicha pori
Mafungu 10 ya mchicha kuna sherehe huko ?Mafungu 10 tu...
Mkuu naona unaanza mazoea ya kijinga acha mara moja kuniquote. Huu ni uzi wa kupeana likes sio wa kudandiana dandiana
Umefanya vema, ila omba mvua iwe inanyesha mara kwa mara[emoji3] [emoji3][emoji23]View attachment 797577
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahaha! Imekaa njema huo msosi mimi napenda kuutumia jioni nikiwa sina harakati nyingi si unajua unaitaji nafasi kama kula nanasi hahahaha Lol
Asante mkuu angalau leo umetukumbukaPoleni wakulima wooote