Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1528390627991.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utageuza kimya kimya pasipo kumsemesha???

Kuna mwanaume aliwahi muacha mpenzi wake kwasababu ya hofu*
Mwanaume alikuwa mchepukaji sana na kila akichepuka mpenziwe anagundua, kamfuma kama mara 3 na wapenzi tofauti anamsamehe...Mwanaume kaogopa kuendelea nae kwa kudhania kuwa anatunzwa tu...Akahisi anapewa muda tu, dawa yake ipo jikoni yachemka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


MAPENZI HAYA[emoji23][emoji23]
Huyo mwanamke ana akili sana Aise!! kuna muda kuongea sana au kuanzsha Ugomv sio ishu
 
Back
Top Bottom