Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,448
- 25,833
aalaa kumbe!MATUMIZI SAHIHI YA KONDOMU.
*Usitumie kondomu iliyokwisha tumika. Tumia kondomu moja kwa kila tendo moja la kujamiiana.
.
aalaa kumbe!MATUMIZI SAHIHI YA KONDOMU.
*Usitumie kondomu iliyokwisha tumika. Tumia kondomu moja kwa kila tendo moja la kujamiiana.
.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayafai kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utageuza kimya kimya pasipo kumsemesha???
Kuna mwanaume aliwahi muacha mpenzi wake kwasababu ya hofu*
Mwanaume alikuwa mchepukaji sana na kila akichepuka mpenziwe anagundua, kamfuma kama mara 3 na wapenzi tofauti anamsamehe...Mwanaume kaogopa kuendelea nae kwa kudhania kuwa anatunzwa tu...Akahisi anapewa muda tu, dawa yake ipo jikoni yachemka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MAPENZI HAYA[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akiziona hizi itakuwa fulu magego. Kituo cha kwanza kumuita Mwakaleli aje ashuhudie
Leo naona umekuja kivingine dah!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nije unitengenezee moja
Likely MasumbwiNi uwanja wa nini huu?
It's a songWhy?
Nitumie hiyo nyimbo kama unayoNo PEACE
Bro, kupumuliwa kwake kisogoni mwachie yeye. Wewe furahia tu muziki wake na sauti yake nzuri [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Havina kabisa no relationship at all ila asingekuwa gay ingekuwa powa sana
sio mchezo...ila kwa miaka ya leo ni ya kawaida tuAisee,,, ile movie dah