Toa kama unavyopewaKonokono alipataje jina la kitumbua? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
View attachment 797963
DuhHahahhaha tabia za kupenda mtelemko, madhara yake ndo hayo,, haha
Sijaelewa jirani. Sitoi likes ama?Toa kama unavyopewa
Aisee. Wala sikufikiria dah !mmh! unawapa mbinu nyingine waendelee kutukamata!!
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app