Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapo ndo tuna kwazanaga na wewe kwenye kudai madeni...
Kwanini haupendagi kudanganywa hata kidogo ili maisha yaendelee?

Jumapili ijayo fesi tu fesi samu wea,nita kupitia ninavyo enda kwa mzee wa pwani.
Unakumbuka zile ... za mbuzi ulisema na wewe una zitaka?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilikwambia najua kudai mimi.

Mimi zile huwa situmii ila choma kwa sana tu[emoji39][emoji39][emoji39]
Tutapanga shem usijali.

Msalimie mama na wadogo zangu
 
Humu ndani watu wanabusara sema huu uzi tu ndo huwa unaharibu akili za watu,nimependa busara zake.

Ila sisi hajatuomba msamaha kutuota tuu idiotiz[emoji23][emoji23][emoji23]
Shuaainii zenu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niwaombe msamaha kwa lipi?!!! Nyie tuu idioti mmenifanya nisiheshimike kwenye huu uzi. Mmenipachika majina ya ajabu ajabu utadhani yego mwenzenu... Nonsensi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…