Cole williams, habari gani mkuu?Daaah
Kwema bro nilitaka nikucheki kule aiseeKwema bro?
Rooney upara tangu mdogo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wamebanwa kinoma sijui inaishaje hiiHuyu Isco ana hatari sana
Hahah!! Jamaa nilimuita huku akaahidi atakuja....Kule kumepoa yupo muthoto wa kk peke yake
HahahahaVillage elder
Nipo. Niliona mahali unatafutwa kwa udi na uvumba. Tumshukuru Mungu kwa kutukutanisha tena !!!Kwema bro nilitaka nikucheki kule aisee
Kapandikiza nywele sasa nywele kede kedeRooney upara tangu mdogo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nitakuunga mguu kwa hilo Uzi wetu lazima tuuendeleze tuNitakuwepo na kule nataka kuwa village chief au sponsor
Mpaka sasa haitabiriki na mbinu za kutoboa ukuta wa Urusi hawana kabisaWamebanwa kinoma sijui inaishaje hii
Kwema kabisa mkuu.Safi kabisa mkuu, kwema?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kanti bilivu Jeiefu izi baki
View attachment 800151
Mwl kashasha hahahaha
Daaah aisee ni kweli Mungu ashukuliwe ni wapi huko na mimi nikajua huku hatutarudi tenaNipo. Niliona mahali unatafutwa kwa udi na uvumba. Tumshukuru Mungu kwa kutukutanisha tena !!!