Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20180630-084517.jpg
 
Ha ha ha ha
hajamfunga bana.

Spain wamekosa penalty tu.

Russia wachovu sana.
Kama Ureno na Nigeria tu.
Hata ugiriki mwaka 2007 walivyomtungua Ureno walikuwa wachovu tu......
Wakashinda na Euro Cup...😀😀😀😀
Leo nimefurahishwa na habari mbili kubwa.

Mosi, Komredi Mwigulu A.K.A Savimbi kujiunga na wakina NAPE
Pili, timu ya watengeneza magobole kuwafunga manguli wa mpira..
teh teh teh teh teh teh
 
Back
Top Bottom