MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Nishapona bwana JF imerudi hewani...Poleee ndgu... Sasa wajisikiaje?
Nishapona bwana JF imerudi hewani...Poleee ndgu... Sasa wajisikiaje?
[emoji23]I'm good Ledada, eti nafungua JF nisome baadhi ya vitu nakuta Mention.......
Nikawa kama nahisi nina mawenge hivi kumbe kweli...
Ukitaka kutoa mtoto mrembo lazima uwekeze nguvu ya kutosha...Kwani mwatumia nguvu nyingi?
[emoji23][emoji23]wanawaza nguvu za kiume tu[emoji23][emoji13] [emoji13] View attachment 800287
He he he heHahahahaha,
Weee jamaa bwana,
USA na Israeli na mpira wapi na wapi ???
Hata mirusi yenyewe imebahatisha tu leo,
Hii mijamaa kombe lao la dunia ni Pulonium, Novichok na kalashnikov....Mpira wawaachie Brazil.
Mmmmmhhh! Sawa bwanaUkitaka kutoa mtoto mrembo lazima uwekeze nguvu ya kutosha...
Dah tumepitia mengi sana long live JF[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nataka kua villager eldee
[emoji120][emoji120][emoji120], vizuriNishapona bwana JF imerudi hewani...
Hapana mkuu Mimi ni Mzee wa liver join JF 2014Sukrani sana
Nimeshakaribia.
Naomba kukuuliza swali moja.
Wewe ndiye LverPool FC tuliyekuwa kwenye uzi wa Kubota kule miaka ya 2012 tukijadili mambo ya ufugaji wa kuku na Kina Mama Jimmy???
Au ni majina tu yamefanana??
Kweli kabisa ndio maana wamepata aibuUjanja Ujanja mwingi
kumbee[emoji3] [emoji3] ..poleeElder bwana, nishatoka kwenye u sinia
Kwani penati sio sehemu ya mchezoHa ha ha ha
hajamfunga bana.
Spain wamekosa penalty tu.
Russia wachovu sana.
Kama Ureno na Nigeria tu.
Fresh kabsa,, Mungu anasaidia brother, tunapambana,,, vipi huko???Fresh Mungu Mkubwa za kitambo
Mkuu mpira unamatokeo ya kikatili sana we acha kabisaHahahaha Miracles do happen,
Kipa anadakia miguu..Hivi Spain leo wamepiga pasi zaidi ya 1000 zenye accuracy 80% lakini wametolewa na watengeneza magobole wale kweli... Teh teh teh teh teh, leo nimecheka sana!
miss you more inna!!kwemaa..miss you!!
Kwani ilichukua muda basi....jioni yake tu baada ya wewe.kumbee[emoji3] [emoji3] ..polee
TehetehetheNipo
Majukumu tu ya kumtafuta firstborn yalinizidia...
He he he he
Mkuu mpira unabadilika mkuu, ipo siku utaona fainali kati ya mchina na India.
teh teh teh
We ulitegemea msaudia kuwemo??
kumbeeeKwani ilichukua muda basi....jioni yake tu baada ya wewe.