Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Hahahahaha!! PoleniNdio tabu yetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaha!! PoleniNdio tabu yetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha wamebaki wawili wacha tusubiriIla la Bwana Savimbi limenibariki sana roho yangu.
Maaana nilikuwa namcheki tu halafu nasema Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ya Kihutu, lakini leo naona wamekula kichwa.
Aisee nimebarikiwa sana Roho yangu,..Bado kuna wengine wawili nawasubriria kwa hamu sana
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
We mtu upo[emoji26] [emoji124] [emoji125]
Yaani mtu ametoka usingizi ameamka asbh mkono unakimbilia downHahahahaha!! Poleni
Mna hatari kabisa.Yaani mtu ametoka usingizi ameamka asbh mkono unakimbilia down
Hahaha lazma ujihami mkuu,, unaweza kuta imepoteaYaani mtu ametoka usingizi ameamka asbh mkono unakimbilia down
Hapana. Mimi sikuhama. Nilikuwa na matumaini kuwa siku moja tutafunguliwa. Na kweli imekuwa. Yote kwa yote TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]rafik angu na ww ulikua kule ukimbizini?
kwakweli tunashukuru Mungu kwa kutukutanisha tenaaa..nilikutafuta kule nkajua umechange id kumbe hukuwepoHapana. Mimi sikuhama. Nilikuwa na matumaini kuwa siku moja tutafunguliwa. Na kweli imekuwa. Yote kwa yote TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Yaani mtu ametoka usingizi ameamka asbh mkono unakimbilia down
Sikuwepo. Nilikuwa napita pita tu kama mgeni. Wangekuwa na app bila shaka ningeukwaa usinia vileja [emoji16][emoji16][emoji16]kwakweli tunashukuru Mungu kwa kutukutanisha tenaaa..nilikutafuta kule nkajua umechange id kumbe hukuwepo
Asante Bilionea. Bakia salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Asee nilipita kuwsalimu.
Ngoja niendelee na majukumu mengine.
Stay Blessed sana.
Mkiwaona wafuatao muwaambie nawasalimu sana
myoyambendi
BAK
hearly
SHIMBA YA BUYENZE
Beef Lasagna
ho chi minh
goldie ink
[emoji3] [emoji3] sio usinia tu kwa jitihada zako za kupost ungeshavuka elder vilejaSikuwepo. Nilikuwa napita pita tu kama mgeni. Wangekuwa na app bila shaka ningeukwaa usinia vileja [emoji16][emoji16][emoji16]
Haki tena, hivi nilikuwa najua ni mawenge yangu.Hahahahaha
Yaani Marekani soka ni zero kabisa. Hata huwezi jua kuna kombe la dunia. Wanasubiri mwezi wa tisa waanze ile football yao ambayo kimsingi ni Rugby (ya kuvaa kinga)Hahahahaha,
Weee jamaa bwana,
USA na Israeli na mpira wapi na wapi ???
Hata mirusi yenyewe imebahatisha tu leo,
Hii mijamaa kombe lao la dunia ni Pulonium, Novichok na kalashnikov....Mpira wawaachie Brazil.
Wagumu wa aina gani wanaongelewa hapa?[emoji23][emoji23][emoji23]WagumuView attachment 800310
Kwema bro?Asante Bilionea. Bakia salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahahaha, wazee wa NFL na NBA waache tu.Yaani Marekani soka ni zero kabisa. Hata huwezi jua kuna kombe la dunia. Wanasubiri mwezi wa tisa waanze ile football yao ambayo kimsingi ni Rugby (ya kuvaa kinga)