Shithole continent tuliambiwa ngono ni mojawapo ya vipaumbele vyetu vikubwa [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]wanawaza nguvu za kiume tu[emoji23]
USA ndio wenyeji wa fainali zijazo za World Cup,,, baada ya zile za UAE,,, USA, CANADA pamoja na wahuni wa SinaLoa MEXICO,,, wataandaa kwa pamojaYaani Marekani soka ni zero kabisa. Hata huwezi jua kuna kombe la dunia. Wanasubiri mwezi wa tisa waanze ile football yao ambayo kimsingi ni Rugby (ya kuvaa kinga)
[emoji106][emoji106][emoji106]Hata ugiriki mwaka 2007 walivyomtungua Ureno walikuwa wachovu tu......
Wakashinda na Euro Cup...😀😀😀😀
Leo nimefurahishwa na habari mbili kubwa.
Mosi, Komredi Mwigulu A.K.A Savimbi kujiunga na wakina NAPE
Pili, timu ya watengeneza magobole kuwafunga manguli wa mpira..
teh teh teh teh teh teh
Hawa jamaa soka hakuna kitu bro. Yaani haimo kwenye damu kabisa na wala hawajawekezaUSA ndio wenyeji wa fainali zijazo za World Cup,,, baada ya zile za UAE,,, USA, CANADA pamoja na wahuni wa SinaLoa MEXICO,,, wataandaa kwa pamoja
Wenge langu hili haliishi mpaka baada ya maonyesho ya sabasaba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole eti
Wenge limeisha sasa?
[emoji23]Shithole continent tuliambiwa ngono ni mojawapo ya vipaumbele vyetu vikubwa [emoji16][emoji16]
Amen, AmenAsante mkuu. Tumshukuru Mungu kwa kutukutanisha tena...
Hahaha kule sikuwepo kwa kweli,,,Tumerudi salama hcho ndio cha kumshukuru Mungu!!! Asante pia bro!!Kwema kabisa bro. Ulipotea jumla hata kwenye usinia vileja sikukuona. Nafurahi kuwa tumerudi hapa tena. Asante bro
Huyu alikuwa ndiyo Bashite wa Jakaya,...Madaraka yanapita. Ubinadamu hubaki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 800316
Mkuu myoyambendi niaje22:20
Aende huko kwingine akagombee uraisi 2020 kama watamkubalia japo ana mzigo. Mambo mengi yasiyopendeza yametokea chini ya uangalizi wake pale wizarani. Au ajiunge na akina Nape, Bashe na group lao wawashe moto wa kimapinduzi chamaniHuyu alikuwa ndiyo Bashite wa Jakaya,...
Ndani ya miaka 2 atasahaulika kabisaaaa!