Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata ugiriki mwaka 2007 walivyomtungua Ureno walikuwa wachovu tu......
Wakashinda na Euro Cup...😀😀😀😀
Leo nimefurahishwa na habari mbili kubwa.

Mosi, Komredi Mwigulu A.K.A Savimbi kujiunga na wakina NAPE
Pili, timu ya watengeneza magobole kuwafunga manguli wa mpira..
teh teh teh teh teh teh
Hahaha umekuwa na jumapili njema sana
 
Like upate like
IMG_20180701_204156.jpg
 
Hahaha umekuwa na jumapili njema sana
Ila la Bwana Savimbi limenibariki sana roho yangu.
Maaana nilikuwa namcheki tu halafu nasema Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ya Kihutu, lakini leo naona wamekula kichwa.
Aisee nimebarikiwa sana Roho yangu,..Bado kuna wengine wawili nawasubriria kwa hamu sana
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
teh teh teh teh teh

Habari ya kwanza ni njema sana.

Habari ya pili si njema kwangu.
Ingekuwa njema kama USA au ISRAEL wangekuwemo World cup halafu wakutane uso kwa uso na Russia.
Hio mechi ingekuwa tamu sana aiseeee
Kuna WC moja nafikiri 1998 France
USA vs IRAN, Iran walishinda 2 kwa 1 nafikiri walisherekea utafikiri wamechukua kombe
 
Back
Top Bottom