mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mh!!!!It's impossible to kill a Kenyan :
Unampea Sukari iko na copper na Mercury,
Chips hupikwa na mafuta ya transformer,
Maziwa ya kiosk ni madawa ya mortuary,
Samosa iko na Nyama ya Paka,
Nyama ya Punda kwa Butchery,
Asali anawekewa Mollases,
Sukuma wiki inatolewa kwa Sewage,
Mchele ni ya plastic,
Kenchic broilers hunoneshwa na dawa za HIV,
Samaki za ponds hupewa fertilizers,
Na bado ukimsalimia anasema "Niko sawa Kabisa, Kung'ang'ana tu".
We Are Made of STEEL!....[emoji38][emoji38]
Kweli mkuu..Kesho nayo siku
Naombeni like za kuanzia tarehe 11 June kusherehekea kurudi kwa JFJf imerudiiiiiiiiii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ingini imewakaaaa....