Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

731a85e3-9679-47e9-9a81-a996936ae5b5.jpg
 
Ubelgiji inajivunia kuwa nyota kibao, wanaosakata soka katika klabu kubwa huko Ulaya. Yupo Romelu Lukaku, Eden Hazard, Maroune Fellaini na Thibaut Coutouis. Wajapani wanae Shinji Kagawa na Keisuke Honda. Majina mengine ni magumu sana, nisije vunjika ulimi bure
Jina gumu km lile Ntolilo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom