Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahahah et kuvunjika ulimiUbelgiji inajivunia kuwa nyota kibao, wanaosakata soka katika klabu kubwa huko Ulaya. Yupo Romelu Lukaku, Eden Hazard, Maroune Fellaini na Thibaut Coutouis. Wajapani wanae Shinji Kagawa na Keisuke Honda. Majina mengine ni magumu sana, nisije vunjika ulimi bure
Jina gumu km lile Ntolilo [emoji23][emoji23][emoji23]Ubelgiji inajivunia kuwa nyota kibao, wanaosakata soka katika klabu kubwa huko Ulaya. Yupo Romelu Lukaku, Eden Hazard, Maroune Fellaini na Thibaut Coutouis. Wajapani wanae Shinji Kagawa na Keisuke Honda. Majina mengine ni magumu sana, nisije vunjika ulimi bure
Kwema mzee wa kimboka [emoji23][emoji23][emoji23]Salaam mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zile zinazokuwa kwenye kikaratasi chake cha plastiki zile. Halafu zinaluwa pana kidogo hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I wasn't hiding my kid from the world, I was hiding the world from my kid!!!
Maisha ni mzunguko. Akina Ben Saanane. Ndugu zao wakimjia sijui atawaambia nini. Madaraka huraibisha lakini ni lazima yawe na mipaka. Sad !!!....Yule waziri aliyekuwa anatetea uhalifu uliokuwa ukifanyika kule mto Ruvu Bagamoyo
Mzee wa Koromije habari za siku, Dunia ilitutenganisha kwa muda hatimaye tumeungnishwa tenaWagumu wa aina gani wanaongelewa hapa?
Nipo namhala omang'hwani. TUMSHUKURU MUNGU tumekutana tena [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mzee wa Koromije habari za siku, Dunia ilitutenganisha kwa muda hatimaye tumeungnishwa tena
[emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1]