Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hizi ajali hizi... Mungu atuepushie mbali tu.
Ni kuomba Mungu. Ni barabara ya kwenda Mbeya hii ama? Wakapumzike salama waliotangulia. Maisha haya mhhh !!!Hizi ajali hizi... Mungu atuepushie mbali tu.
Yeah! Kuna eneo wanaliita Mbalizi.Ni kuomba Mungu. Ni barabara ya kwenda Mbeya hii ama? Wakapumzike salama waliotangulia. Maisha haya mhhh !!!
Zamaaan cheki konge kaleta picha hii lazima niipende franceHuhuh!! Usiniambie umeshapata kichaka kipya?