Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shimba pole kama ushaumwa na those deadly aliens!! Siwezi kupenda mijoka asilani chief.
Huku kwetu Koromije ni jambo la kawaida. Tena hospitali hupelekwi. Kinaitwa kibibi tu hapo kijijini kinakutibu na unapona. Mimi nadhani sumu ilikuwa kali na kulikuwa na tissue damage. I still have a huge scar to show...
 
Back
Top Bottom