Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
HahahahaKuna tofauti ya tundu lisu na tundu lanyoka wajuzi mnijuze
Sema kamanda. Naomba update!Shimba
No oneNo one can take you from me
Mzee wa data nakukubaliVipi hali ya Andjul. Is he OK psychologically baada ya sekeseke la jana? Nimeona ameanza kuimba injili. That's good for his soul...[emoji23][emoji23][emoji23]
You see. Kila mtu ana phobia zake...Nawaogopa wanaume wasio na pesa alafu hawana akili on top of that ni arrogant! Hiyo ni lethal combination
Mzee wa data naona jioni upo vyema sanaSema kamanda. Naomba update!
IndeedYou see. Kila mtu ana phobia zake...
Speed of light and thunderUzi unakimbia
Afu we jamaa wwSis, wewe huna phobia yo yote? Mende? Kunguni? Nyuki? Wanaume wasio na pesa?...
Welcome to CoLe worldHahahaha
Tulia mkuu utaona mwenyeweKuna malaika wengine wapya waliojitokeza? Naomba update please...
Huku kwetu Koromije ni jambo la kawaida. Tena hospitali hupelekwi. Kinaitwa kibibi tu hapo kijijini kinakutibu na unapona. Mimi nadhani sumu ilikuwa kali na kulikuwa na tissue damage. I still have a huge scar to show...Shimba pole kama ushaumwa na those deadly aliens!! Siwezi kupenda mijoka asilani chief.