Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ianike hapa hapa kwa faida ya wote
Akikuambia PM na mimi niruhusu nije PM uniambie ili hatimaye niianike hapa hadharani [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
446640479_68196.jpg
 
Hii dunia akuna kitu hunibamba na kunifurahisha kama kustuka kwa usingizi nkifkiri nachelewa alafu npate nko na 2hrs extra[emoji173]️[emoji8][emoji7][emoji7][emoji7].. Waa [emoji39][emoji39]
 
Nimewahi kufanya jaribio la kuwauliza watu wengi kama wanaishi kwa furaha, lakini wengi wao walinijibu kuwa hawana furaha maishani mwao.

Hapo nikamkumbuka rafiki yangu “Masumbuko”, Hili siyo jina lake bali amepachikwa na watu kutokana na tabia yake ya kulitumia neno hili kila mara.

Kinachonishangaza ni kuwa kila ninapokutana naye huonekana hana furaha na ninapomuuliza kipi kimsikitishacho huwa hakosi sababu.
 
Mara nyingi huzungumzia matatizo ya kazini, siku nyingine ya nyumbani kwake na mara nyingine hutaja changamoto zinazotokana na mambo ya kijijini kwake.

Kila anaposalimiwa na kuulizwa hali yake hujibu kwa kusema; maisha yangu ni masuumbuko tu wala sina furaha.

Siku moja nikamuuliza “Unafikiri masumbuko yako yataisha lini?” Alinijibu,“Bwana nimekata tamaa”.
 
Kuna wakati niliwaza kuwa yatakwisha nitakapojenga nyumba yangu, au wakati watoto wangu watakapomaliza shule na kuanza kazi au wakati nitakapostaafu na kujiajiri mwenyewe kwa kuendesha miradi.

Lakini kila nilililoliwazia linapotimia bado maisha yangu yanaendelea kuwa ya masumbuko.

Huenda kuna watu wengine wenye mawazo kama ya rafiki yangu Masumbuko.
 
Awali ya yote wanapaswa kufahamu kuwa “Kila mtu ana haki ya kuwa na furaha”.

Wala hakuna sababu yoyote inayostahili kumfanya mtu adumu katika hali ya kukata tamaa.

Huenda ni kweli kuwa kuna baadhi ya watu wanaokabiliwa na hali ngumu ya maisha ambayo wanashindwa kujitanzua nayo.
 
Lakini hakuna sababu ya kukata tamaa.

Siku zote maisha yanaweza kufanywa yakawa mazuri mradi tu mtu awe na dhamira ya kuyafanya hivyo.

Furaha hainunuliwi dukani au sokoni wala hatuwezi kuiazima kutoka kwa jamaa zetu.
 
Back
Top Bottom