Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Huwa inatokana na mtazamo wa fikra zetu. Baadhi ya watu huwa wahuzunikaji au wazoefu.
Hawa hawana furaha kwa sababu hawajajifunza au kujizoeza tabia ya kujizoeza furaha maishani mwao.
Kila wakati wao hufikiria kuwa maisha yamekuwa siyo rafiki kwao na kwamba yanawaonea.
Wao huwa wanakataa kuyakubali mambo ya ulimwengu kama yalivyo.