Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi sisi waafrika, ni mchezo gani mwingine ambao tukishiriki katika level ya kimataifa tunaweka heshima !? Ukiacha Soka ...[emoji41][emoji41][emoji41]
Waanzishe mashindano ya dunia ya kugegedana uone shithole tutakavyoibuka videdea...

Au mashindano ya misambwanda...[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
WAJUE WANAWAKE 10 WAJINGA.

SAMAHANI KWA WALE NITAKAO WAKWAZA KWA POST HII..

(1)..Anaebadili jina mtandaoni na kujiita majina ya watu maarufu...Huyo NIMJINGA.

(2)Anaetoa mimba kisha analala na midoli huyo NIMJINGA

(3)Anaedate na mume wa mtu miaka nenda rudi na kuwakataa wanaotaka kumuoa huyo nae NIMJINGA.

(4)Anaeweka nywele bandia,kucha bandia,kope bandia ..alafu akiambiwa umependeza anasema asante...huyo nae NIMJINGA

(5) Anaebeba minguo ya bwana wake na kwenda kuifua hali ya kuwa anajua huyo bwana ni mume wa mtu...huyo ni NIMJINGA.

(6)Anaemkataa mwanaume anaetaka kumuoa kwa ajili ya bishoo wa kwenda nae club kila siku....huyo nae NIMJINGA.

(7)Anaetoroka kwao na kwenda kulala gest na bwana na asubuhi anaambiwa hapa sina hela iliyobaki naenda kumpa Mke wangu na akakubali...huyo nae NIMJINGA.

(8)Mwanamke ambae hamiliki hata kitanda kisha anataka mwanaume mwenye gari huyo nae NIMJINGA

(9)Anasema anaficha sehemu zake za siri wakati ameshalala na wanaume zaidi ya 10 huyo nae NIMJINGA..

(10)Anaeenda kwenye nyumba ya ibada huku amevaa sketi fupi alafu njia nzima anaishusha ili magoti yasionekane huyo nae NIMJINGA..
Imeandikwa na mwalimu habelnoah
Waweza kuongezea hapo kama kuna wengine wenye tabia chafu..
Anayemruhusu housegirl kufua nguo za mumewe + kunyoosha ni MJINGA wa kwanza na MWISHO.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
IMG-20180627-WA0006.jpg
 
STRESS: Fahamu njia rahisi za kukabiliana na msongo wa mawazo

Msongo wa mawazo ama stress kwa kiingereza, ni tatizo ambalo kwa bahati mbaya sana limeendelea kuwa kitu cha kawaida sana kwa wanaadamu katika zama tulizo nazo. Katika miaka hii tuliyo nayo, ni sahihi kabisa kusema kuwa, takriban wanaadamu wote walio hai wamekuwa wakikabiliwa na tatizo hili.
Kuna baadhi ya aina za msongo wa kimawazo, ambazo zinaepukika na nyingine ni ngumu kuziepuka ila unapaswa kujua jinsi ya kukabiliana na shinikizo la msongo wa mawazo pale linapokukabili.
na hali hii pindi unapojikuta umetumbukia ndani yake
 
Jifunze kusema “hapana” hii ni katika mambo yako binafsi au kazi yako, unaitumiaje hii hapana? Unajua maofisini kuna swala la kupeana vikazi visivyoeleweka hata vimetokea wapi, yaani hujamaliza hili unaletea jingine hata kama sio kazi yako… sasa jifunze kukataa hizi kazi zisizo za kwako ili mradi tu mfurahishe tu. hivyo hivyo vitu vidogo vidogo ndivyo vinavyokuletea msongo wa mawazo.
 
2.Jiepushe na watu ambao mara nyingi wanakusababishia Stress, unajua ukikaa chini na kufikiria utagundua kuna mtu flani au kundi flani la watu ndo linalokuleta msongo wa mawazo, sasa kaa nao mbali kabisa.
 
3. Simamia mazingira yanayokuzunguka. Mazingira yanakuzunguka yanaweza kuwa sababu ya stress zinazokukumba, mazingira yapo nayozungumzia mimi hapa? njia unayotumia kwenda kazini au kurudi nyumbani ina foleni sana? hiyo nayo inawea kuwa sababu ya stress ulizonazo, lakufanya epuka matumizi ya barabara kwa wakati huo, mazingira ya soko wakati wakufanya manunuzi ya bidhaa mbali mbali yanakupa stress? nenda katika supermarket maana kwa kiasi flani kuna utulivu na hali ya hewa nzuri
 
Back
Top Bottom