Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Michuano ya Kombe la dunia la mwaka 2002, mechi kati ya Cameroon na Germany ilivunja rekodi ya kutolewa kadi nyingi katika mechi moja. Jumla ya kadi 18 zilitolewa, 16 zikiwa za njano, na 2 nyekundu. Kila timu ilikula kadi 8 za njano na moja nyekundu. Hii ndio ilikuwa njia pekee kwa referee Antonio López Nieto raia wa Hispania kucontrol nidhamu ya mchezo huo. Naona "vitoto vya Malkia" vinajaribu kuwatibua "mateja" wa Latin America, ili rekodi hiyo ijirudie.
 
Mkazi mmoja wa jijini Mwanza, Justin Emmanuel amefikishwa Mahakama ya Wilaya Misungwi, kwa tuhuma za kutoa lugha chafu dhidi ya Rais. Emmanuel anatuhumiwa kutenda kosa hilo June 25 mwaka huu, katika Kivuko cha Kamanga majira ya saa 10:00 jioni, ambapo anadaiwa kutoa lugha ya kumdhihaki Rais kwa kusema “Kwani Rais kitu gani bwana?”

[HASHTAG]#MyTake[/HASHTAG]:
Mawakili wa serikali warudi Law school. Kwani Rais kitu gani bwana???
 
MSAJILI ALIYESIMAMISHWA KAZI NA MWIGULU KWA KUANDIKA BARUA INAYODHALILISHA MAASKOFU, ARUDISHWA KAZINI.

Msajili wa taasisi za kiraia na vyama vya hiari wa Wizara ya mambo ya ndani Bi.Merlin Komba, ambaye alisimamishwa kazi na Waziri Mwigulu Nchemba wiki chache zilizopita kufuatia msajili huyo kuandika barua kwa kanisa la KKKT kutaka lifute waraka wake wa pasaka, amerudishwa kazini.

Waziri Mwigulu alisema barua hiyo kwenda KKKT iliandikwa na "wahuni" waliokuwa na lengo la kuhatarisha amani ya nchi. Hata hivyo baadae Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe alieleza kuwa barua hiyo iliandikwa kwa maelekezo ya Ikulu, na kwamba kitendo cha Mwigulu kumsimamisha kazi Bi.Komba kingewwza kumuondoa katika nafasi yake ya uwaziri.

Siku moja tu baada ya Waziri mpya wa mambo ya ndani Kangi Lugola kuapishwa hapo jana, Bi.Merlin Komba amerudishwa kazini. Hata hivyo Lugola amekataa kusema ni nani aliyemrudisha kazini Msajili huyo, na kwa utaratibu gani. Pichani ni Waziri Lugola akisalimiana na msajili huyo na baadhi ya watumishi wengine wa wizara hiyo.

Nini maoni yako?
 
Mwaka 2003, katika mechi ya kimataifa kati Dernmark na Iran, mchezaji wa Iran alisikia sauti ya filimbi kutoka kwa mashabiki, akaukamata mpira kwa mkono akidhani kwamba Mwamuzi amepiga kipyenga cha mapumziko. Mwamuzi akaamua iwe penalt. Kocha wa Dernmark Morten Olsen akamwita mchezaji aliyetakiwa kupiga penati hiyo Motern Weighorst na kumwagizz akose hiyo penati kwa sababu mchezaji wa Iran hakukusudia kuunawa mpira. Weighorst akapiga nje makusudi na kuikosesha timu yake licha ya kwamba ingewasaidia kusawazisha kwa kuwa walikuwa nyuma kwa bao 1-0. Hata hivyo kamati ya Olympic ilimtunuku Weighorst tuzo ya mchezaji bora katika Fair play. Nini maoni yako? Credits: [HASHTAG]#Fahamuazaidi[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…