Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Wewe 🙂Game inabadilika hii
Hili nalibatiza: FENESI LA ANDJULHaya fenesi hilo hapo, kazi kwenu sasa...View attachment 801967
Waende wakazalishe Kokeini sasaWC Russia 2018 Colombia safari imeisha
Amedondoka eeeh!?_*Jamaa kalala kwenye kitanda cha dabo halafu ile siti ya juu kulikua na binti kalala huko*_
_*Kati kati ya usiku jamaa kapanda kule juu kwa binti taratiiiibu, ile kumgusa tu binti akashtuka na kuuliza, umefata nini huku*_
*_Jamaa akajibu nimedondoka_*
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Duh!!*kuna mdada huku kwetu alimuwekea MUME..wake* *LIMBWATA kwenye chakula ..KWA bahati mbaya PANYA wamekula chakula chote..*
*SAIVI PANYA WANAMFATA YULE MDADA HUKU WANATABASAMU.*[emoji32]