[emoji23][emoji23][emoji23], kwahiyo mnafanya kubalance eqn sio.Huenda na wanawake wa huu uzi hawana waume[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu kwani wewe huna mwenzio
Mabachella wa kike na kiume hukutana hapa wakiburudishana kwa hoja mpaka usiku wa manane[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23], kwahiyo mnafanya kubalance eqn sio.
Sina hakika sana kama wote hawa ni mabachela.Mabachella wa kike na kiume hukutana hapa wakiburudishana kwa hoja mpaka usiku wa manane[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125]
Sina hakika sana kama wote hawa ni mabachela.
Aisee...Salamu ziwafikie popote walipo.Wengi hapa wanandoa zao, ni bahati mbaya uzi huu unawatia kiwewe
Mkuu karibu tupate kikombe cha chaiAisee...Salamu ziwafikie popote walipo.
(Jibu atakalo kuja nalo Andjul sijui)
Shukrani mkuu, bahati mbaya sana kwangu, chai situmii.Mkuu karibu tupate kikombe cha chai