myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Iwe siku njema kwetu
Asee, unaweza pata supu,mtori au juice. Karibu mkuuShukrani mkuu, bahati mbaya sana kwangu, chai situmii.
Ningepata uji ingekuwa vyema zaidi, teh!Asee, unaweza pata supu,mtori au juice. Karibu mkuu
Amin..Mungu atulinde sote na atuepushe na mabaya katika siku hii
Mimi pia ni mpenzi wa uji sana, nafikiri mazoea ya uji shuleni kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita ndiyo sababu ya kupenda uji hadi sasaNingepata uji ingekuwa vyema zaidi, teh!
Oooh! Kumbe wapenda uji tupo wengi eeh!Mimi pia ni mpenzi wa uji sana, nafikiri mazoea ya uji shuleni kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita ndiyo sababu ya kupenda uji hadi sasa
Tupo wengi tu mkuu. Hata mtaani wamama wanaouza uji wanapiga pesaOooh! Kumbe wapenda uji tupo wengi eeh!
.......********.........*********...........********
[emoji106][emoji106]Tupo wengi tu mkuu. Hata mtaani wamama wanaouza uji wanapiga pesa
Sana tu mkuu! Napenda sana uji mie[emoji106][emoji106]
Hivyo kuna kila sababu mie pia niungane na hao wamama, naimani utakuwa mmoja wa wateja wangu......
[emoji23][emoji23][emoji23], sawa bwana.Sana tu mkuu! Napenda sana uji mie
Sawa mama ngoja tufanye kazi[emoji56][emoji23][emoji23][emoji23], sawa bwana.
Pamoja sana.
Oooh! Kumbe wapenda uji tupo wengi eeh!
.......********.........*********...........********
Mbona una ID nyingi nyingi?Sawa mama ngoja tufanye kazi[emoji56]
Mbona una ID nyingi nyingi?