carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kuna watu yan they are meant to be...Memories back then mess and her wife View attachment 533624
Kuna watu yan they are meant to be...Memories back then mess and her wife View attachment 533624
Mimi mwenyewe Jana nimeamka usiku nikamkuta cocochenel tukagonga like!! Ila ni weekend. Siku za kazi siweziKwa hali iliyomo humu kuna watu hata sijui kama wanajali mwanzo na mwisho wa siku. Uzi huu kiboko!
Itakuwa alitibuliwa na post moja hivi, mimi mwenyewe sikuipenda.Naamini alikuwa anamnukuu Dr. Remy Ongala katika wimbo wake wa tenda wema uende zako. Kuna mahali anasema "wema kum*nyoko"
Hakuna maajabu hapa duniani!maajabu
This makes sense...na message sent. Mzee wa parables hii isikupite! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]