mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
DieLive
DieLive
Kazi ipooo !!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji125] [emoji125] kuna wamama wengine wanapenda muda wote mtoto wake wa kiume kama yupo home na mke wake muda wote wawe chumbaniiiii... Utakuta mmama wa watu yupo sebuleni kajilaza hataki cha tv wala redio.... Anasikilizia kelele na miguno ya watoto wake wanavyo chimba viazi pacha. Mtoto wa kiume ukitoka tu utasikia "kama babaako tu" lionee... Mke akitoka anaenda jikoni utasikia "pumzika ntawapikia chakula anacho kipenda baba yenu akitoka kwenye kazi ngumu"[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Rip my lovely mama. Ungekuwepo ungeinjoi sana kwa jinsi mwanao nilivyo na uwezo wa kumlisha parachichi mkweo bila kuchoka.
[HASHTAG]#NAKUPENDA[/HASHTAG] SANA MAMA, MIAKA 20 IMEPITA NAHISI KAMA NI JANA TU. HUKU UMEACHA CHUMA CHA BELA MITWA#
Aiese kura zinanamna nyingi za kuzipataHalafu akipata kura hawatamuona tena [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 803202
Hatari sanaWahehe wana hasira sana eeeh!?
View attachment 803201
Mkuu habari za LeoHaya sasa. Wenye uji usio na virutubisho vya kutosha. Kuleni karanga, almonds, hazelnuts pamoja na walnuts. Miezi mitatu tu tatizo kwisha [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
View attachment 803199
Hovyo sana huyu Dogo
Hauna maana kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sina tatizo, maana sina makuu miye. Akileta viazi pacha nakula, akileta konokono pia nala, usimtishe mdada wa watu[emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
RightLeft
StayLeave
Habari njema kamanda. Vipi huko Idodomya?Mkuu habari za Leo
[emoji23][emoji23][emoji23]huku nipo sana mkuu,,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Utaondoka lini huko?!!
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]endeleeni kuutamka tu huo uji,,, nasubiri mtu autamke kwa lafudhi ya kikurya
Poa kabisa mkuu tupo tena kwenye Uzi wetu pendwaShwariiii....za kwako