Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Female brain
40% Love
20% shopping
20% money
10% Gossiping
10% Fu**ing

Male brain
97% Fu**ing
1% whom to f*ck
1% where to f*ck
1% how to f*ck

Men are like shoe laces, they enter many holes before they tie the knot. Sijui mbona siwachangi kusema ukweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanaume kujeni hapa nyuma ya tent tukubaliane ni nani tutamla kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kazi ipo
 
[emoji23][emoji23][emoji23]nilipokuwa mdogo kabla sijachukua hatua naanza kuangalia kipi kiko wapi na kimekaa vipi.... [emoji23][emoji23]nisije kuumbuka....Utoto raha sana.
Vipi umetumwa kuchukua kopo la sukari/ Laktojeni/selelaki,unalifungua huko huko halafu unabugia unga. Bahati mbaya unga unanasia aidha kwenye pua, pembeni ya midomo au kifuani. Mama anakuuliza umesha fungua na umelamba... Ile una bisha unavutwa masikio na unazabuliwa kibao huku unaonyeshwa ushahidi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
 
Kweli tena, kuna wamama wanapenda kuona wake wa watoto wao wanang'ara muda wote, wasiwe na purukushani purukushani, ili mradi jikoni aingie + usafi.... Hapo ataona mwanae anafaudu sana....[emoji6]
[emoji125] [emoji125] kuna wamama wengine wanapenda muda wote mtoto wake wa kiume kama yupo home na mke wake muda wote wawe chumbaniiiii... Utakuta mmama wa watu yupo sebuleni kajilaza hataki cha tv wala redio.... Anasikilizia kelele na miguno ya watoto wake wanavyo chimba viazi pacha. Mtoto wa kiume ukitoka tu utasikia "kama babaako tu" lionee... Mke akitoka anaenda jikoni utasikia "pumzika ntawapikia chakula anacho kipenda baba yenu akitoka kwenye kazi ngumu"[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Rip my lovely mama. Ungekuwepo ungeinjoi sana kwa jinsi mwanao nilivyo na uwezo wa kumlisha parachichi mkweo bila kuchoka.

[HASHTAG]#NAKUPENDA[/HASHTAG] SANA MAMA, MIAKA 20 IMEPITA NAHISI KAMA NI JANA TU. HUKU UMEACHA CHUMA CHA BELA MITWA#
 
Aiseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....SIKUWEZI aki
 
Kifo kinatisha kwa kweli, maana inakuwaje kila anayekufa anapitia machungu ya ugonjwa au ajali. Na mara nyingi anayekufa lazima akojoe na au kumwaga haja kubwa. Kwa kweli nikitafakari hapo hukiohopa sana kifo. Ni vile siri yake haijulikani mpaka kikufike.
Mwenyezi Mungu atuepushe na kifo chenye machungu. Aamin
Aamin [emoji120] [emoji120]
Nilikionja cha ajali....
Ni miaka kumi itakuwa ikifika augost 21.Haujui kinachoendelea ila una sikia "apelekwe mochuale" sehemu ya ajali ni kwenye geti la hospitali (Ifisi) kwenye matuta.
nikiutafakari ukuu wa Mungu najiona mjinga sana hasa kwa upuzi ninao andika humu. Laiti ningekufa siku ile ningekuwa nimeachana na mamaangu kwa miaka kumi kamili.
Hakika nina hofu ya Mungu, sikipendi kifo, sipendi safari ila maisha ndio sababu ya kusafiri.
Naamini Mungu yupo tena yupo kabisa. Tuzidi kumtegemea kwa kila jambo
 
Kila nafsi itaonja mauti! Hivyo kila mtu anapaswa kutafakazi, je matendo yake yanashabihiana na mapenzi ya Mwenyezi Mungu?

Wakati wa kurudi kwa Muumba hakuna nafasi ya kubeba hata sehemu kidogo ya mali mtu alizozalisha au kwa mabavu au kwa njia njema. Kila mtu anapaswa kuwa mfumo wake wa maisha utakaodumu hata baada ya kifo chake. Kwani mtu hufa lakini matendo na mwenendo wake mwema humweka hai na kubaki kama ua katika jamii alimoishi.
Hakika[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Sijui kwanini ukitoka Instagram unakuwa na hekima sana!!!
 
Back
Top Bottom