Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tilapia, Mwanza
tapatalk_1530745077676.jpeg
 
Aamin [emoji120] [emoji120]
Nilikionja cha ajali....
Ni miaka kumi itakuwa ikifika augost 21.Haujui kinachoendelea ila una sikia "apelekwe mochuale" sehemu ya ajali ni kwenye geti la hospitali (Ifisi) kwenye matuta.
nikiutafakari ukuu wa Mungu najiona mjinga sana hasa kwa upuzi ninao andika humu. Laiti ningekufa siku ile ningekuwa nimeachana na mamaangu kwa miaka kumi kamili.
Hakika nina hofu ya Mungu, sikipendi kifo, sipendi safari ila maisha ndio sababu ya kusafiri.
Naamini Mungu yupo tena yupo kabisa. Tuzidi kumtegemea kwa kila jambo
Asante Mungu ulipona, tusingepata mwandiko kama huu...
 
Back
Top Bottom